mwanaume kutoka uholanzi aliye fahamika kwa jina la Alexander peter miaka 41 akaa uwanja wa ndege kwa siku kumi akimsubili mwanamke aliye fahamiana nae mtandaoni

mwanaume huyo alikaa kwa muda wa siku kumi mpaka akaathilika kiafya ndipo kituo kimoja cha TV kili fanikiwa kumlipoti mwanaume huyo ambae alikaa uwanja wa ndege kwasiku kumi na baadae kupata tatizo kiafya
baada ya TV kulipoti mwanamke huyo anae itwa Zhang alijitokeza na kusema alikuwa akifanyiwa upasuaji ndyo maana akazima simu na pia hakuamini kama mwanamume huyo anaweza kuja kweli