Watu wapatao kumi na tatu wamepoteza maisha baada ya gari mbili kugongana
ajari hiyo imetokea katika eneo la katonga nchini uganda ikihusisha gari aina ya coster na lori
kwa mujibu wa afisa wa polisi katika eneo hilo Philip mukosi amesema ajari hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo
amesema katika ajari hiyo watu 13 wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya lori kupasuka gurudumu na kusababisha kuyumba kisha kuligonga basi
pia amesema uchunguzi zaidi unaendelea ambapo gari la abilia lina namba za tanzania huku lori likiwa na namba za uganda