Moto wasababisha kifo cha mtoto wa kike mkoani shinyanga
mtoto aliye tambulika kwa jina la Brightness Barnabas mwenye umri wa miaka miwili amefariki baada ya nyumba yao kuwaka moto
kamanda wa polisi mkoani shinyanga Simon Haule amesibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mtoto huyo alilala ndani ghafla ilitokea hitilafu ya umeme iliyo pelekea nyumba kuwaka moto
moto huo uliteketeza nyumba pamoja na mtoto huyo ambae alikuwa amelala ndani ya nyumba hiyo
Post a Comment
0Comments
3/related/default