Watu zaidi ya ishirini wameuawa na 100 kujeruhiwa baada ya mtu mmoja.kufyatua risasi kwenye umati wa watu mjini las vegas
maelfu ya watu walikuwa wakifuatila mziki wa country kabla ya mtu mmoja kuwafyatulia risasi ovyo
mtu huyo alikuwa amesimama kwenye gorofa la 32 na kuwa shambulia maelfu ya watu walio kuwa chini wakiburudika na muziki
baada ya tukio.muuaji.aliuawa na wana usalama na ameaminika ni.mwenyeji wa mji huohuo aliko fanya chambulio
mpaka sasa haija aminika kuwa shambulio hilo ni la kigaidi au na polisi bado wanaendekea na uchunguzi huku jina la mtuhumiwa likiwa alija tajwa
Post a Comment
0Comments
3/related/default