Mahakama ya mkoa mkoani lindi imemuhukumu mkazi wa mkoani lindi Mussa hasani miaka 35 kwenda jela baada ya kubaka
mtuhumiwa amehukumiwa miaka 30 jela na faini ya shilingi milioni moja baada ya kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la sita mwenye miaka 13
akisoma mashitaka hakimu amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo agost 2017 ambapo alimbaka mwanafunzi huyo na kumsababishia kupata ujauzito
baada ya kujilizisha na ushahidi wa shahidi namba moja ambae ni mwanafunzi hakimu alitoa hukumu hiyo ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hii
Post a Comment
0Comments
3/related/default