kocha wa chelsea huenda akamwacha mshambuliaji diego costa
akiongea na waandishi wa habari mshambuliaji diego costa amesema kocha huyo kamtumia ujumbe wa simu kuwa huenda asiwe chaguo lake tena
kocha huyo saivi yupo mbioni kuwania saini ya aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo lomelu lukaku ambae anawaniwa pia na man united
KONTE HUENDA AKAMWACHA DIEGO COSTA
By -
June 08, 2017
0
Tags: