Aliye kuwa mchezaji wa chelsea ambae anaichezea everton sasa romelu.lukaku mbioni kurudi chelsea
kwa mujibu wa watu wakaribu wanasema ingawa timu nyingi zina muhitaji ikiwemo man united ila mchezaji huyo anatamani kurudi chelsea
lukaku ambae aliuzwa na chelsea amekuwa katika kiwango bora hatua iliyo wavutia mameneja wengi kuitaji kumsajili
LUKAKU MBIONI KURUD CHELSEA
By -
June 07, 20170 minute read
0
Tags: