Makamu wa raisi.mama samia hassani kasema serikali haitagawa chakula kwa wazembe
aliongea hayo alipokuwa na mkutano wa hadhara mkoani mara alisisitiza watanzania kujikita katika kilimo ili kunipatia chakula kwaajili ya maitaji ya kila sku
mama samia alisema watagawa chakula kwa watu wale tuu watakao kumbwa na majanga kama ukame au mazao yao kuharibika kwa mvua na siyo kwa wazembe
alisema kuna watu wanakaa vijiweni wanatarajia chakula cha msaada jambo ambalo halakuja kuotokea kila mtu afanye kazi
SERIKALI HAITAGAWA CHAKULA KWA WAZEMBE
By -
June 08, 2017
0
Tags: