Aliye kuwa wakili akimsimamia mbunge wa arusha mjini wakili Sheck mfinanga ajitoa kusimamia kesi hiyo
katika kesi hiyo inayo mkabili mbunge wa Arusha mjini godbless lema ya kumkashifu raisi wakili wake huyo ametangaza kuachia ngazi
katika kesi hiyo wakilii huyo alisemsa sababu ya yeye kuachia kesi hiyo ni kutokana na kuomba jalada la muendelezo wa kesi hiyo bila mafanikio
wakili huyo alisema nimeomba jarada mara nyingi bila kujibiwa kitu chochote nimeona haina haja ya mimi kuendelea na kesi hii kwakuwa sina imani tena
hatua ya kujitoa wakili huyo imekuja siku chache baada ya hakimu aliyekuwa aki sikiliza kesi hiyo kujitoa baada ya kutuhumiwa kuwa ana urafiki na mke wa Godbless lema
baada ya kujitoa wakili lema akapewa muda wa kujieleza kufuatia wakili wake kuamua kuachana na kesi hiyo
Lema alisema kabla nilisema kuwa sina imani na wewe hakimu na hata leo wakili wangu ameamua kuachana na kesi kwakuwa hakuamini pia
baada ya hapo lema akasema apewe muda zaidi ili atafute wakili mwingine atakae msimamia kesi yake hatua iliyo liziwa na mahakama.

Tags
Siasa