Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro amepiga marufuku mijadala kuhusu tukio la kushambuliwa tundu lissu
Sirro amesema ni marufuku kujadiri swala la Tundu lissu kama ambavyo limekuwa kwa sasa hasa kwenye mitandao ya kijamii
amewaonya wana siasa wanao ingilia kati utendaji kazi wa jeshi la polisi kwa kujifanya wao wanajua sana
amesema kushambuliwa kwa lissu polisi hawajapenda na wao ndiyo wanao fanya uchunguzi na amewataka waache jeshi hilo lifanye majukumu yake
amesema kuanzia sasa mijadara yote ifungwe na marufuku kujadiri ni muda wa jeshi la polisi kufanya kazi yake bila kuingiliwa na mtu

Tags
Kitaifa