Jeshi la polisi kanda maalumu ya dar es salaam imefanikiwa kumtia nguvuni mtu mmoja ambae alikuwa akijifanya yeye ni askari polisi
mwanaume huyo ambae alikuwa aki wakamata watu na baadae kuwatoza pesa akiwaambia kuwa ni faini ya makosa waliyo tenda
kamanda wa polisi dar es salaam Razaro mambo sasa amesema walipata taarifa za kuwepo kwa mtu huyo wakaweka mtego wakishilikiana na raia na hatimae wakafanikiwa kumtia nguvuni askari huyo wa bandia

Tags
Kitaifa