Mshambuliaji wa Tanzania na timu ya Genk ya ubelgiji Mbwana ally samata amesema huenda akaamia ligi kuu uingereza
samata amesema wakala wake bado yupo kwenye mazungumzo huenda akaamia EPL msimu wa dirisha dogo au mwakani
amesema sasa ni muda wake kubadili mazingira ni muda muhafaka wa yeye kucheza ligi kubwa zaidi duniani maana ana amini ana uwezo wa kuhimili
ni timu gani huenda atajiunga nayo samatta hakuweka wazi ila alisema muda ukfiika watatoa taarifa kamili kuhusu timu anayo hamia
samatta alikuwa tanzania ambapo alishiliki mchezo wa kimataifa kati ya Tanzania na malawi katika mechi iliyo kwisha kwa sare ya moja kwa moja

Tags
Michezo