Aliye kuwa msemaji wa cha cha ACT wazarendo Kitila mkumbo atangaza kujiuzuru uanachama wa ACT
Kitila ameandika barua ya kujiuzuru uanachama wa chama cha ACT kuanzia leo hii
mkumbo amesema amejikuta hato weza kutumikia sehemu mbili tofauti kwakuwa inakuwa ngumu kwake kufanikisha majukumu yote
uongozi wa ACTA umesibitisha kupokea barua ya kujiuzuru uanachama na wamesema swala la kujiuzuru ni jambo binafsi na kama ameamua hivyo hakuna jinsi wanamtakia maisha mema

Tags
Siasa