Nyumba ya mchezaji wa timu ya taifa ya Zambia Alex N'gonga ili vunjwa na kutupiwa mawe baada ya kukosa goli
mchezaji huyo alikosa goli katika mechi ya kufuzu kombe la dunia ambapo katika mechi hiyo timu ya Zambia ilifungwa goli moja kwa bila dhidi ya Naijeria
baada ya kuisha mechi hiyo mashabiki wenye hasira walienda nyumbani kwa mchezaji huyo na kisha kuruhga mawe kunako nyumba hiyo kufuatia kitendo cha mchezaji kukosa goli
mpaka sasa watu watano wamekamatwa kufuatia kitendo hicho cha uharibufu walicho kifanya..

Tags
Michezo