MWANAFUNZI ALIYE POTEA AKUTWA CHINI YA KIFUSI TABORA

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 15 shule ya  sekondari igunga akutwa amefariki chini ya udongo

mwanafunzi huyo mkazi wa mtaa.wa Nkokoto mkoani tabora aliondoka kwao oktoba mosi hasubui akielekea mtoni kuchota maji lakini hakurudi

siku ya pili yake wazazi wake walatoa taarifa kituo cha polisi na mara moja juhudi za kumtafuta zikaanza

ijumaa mwili wa mwanafunzi huyo ulipatikana chini ya udongo kwenye mto mbutu akiwa amefariki na baiskeli yake ikiwa pemben pamoja na madumu yake ya maji

mkuu wa shule yake amesema haina haja kumlaumu mtu kutokana na tukio hilo kwakuwa ni ajari tuu ya kawaida ya kibinadamu

mkuu wa polisi mkoa wa Tabora amesema hajapata taarifa za kutokea kwa kifo cha kijana huyo na ametuma watu kuhakikisha.

Post a Comment

Previous Post Next Post