Baada ya watu wengi kuitaji kujua kiasi cha mshara anao lipwa raisi atimae awa weka wazi
raisi magufuri amesema yeye analipwa shilingi milioni tisa pekee kwa mwezi na wala hana mshahara zaidi
amesema zamani watu walikuwa wanajilipa mpaka milioni 40 kwa kujinufaisha wao lakini yeye ni milioni tisa tuu
pia kuhusu kupandisha mishahara amesema hato pandisha kwakuwa yeye saivi ana watumikia watanzania kwanza
pia amegusia wale wasio.na.vyeti ambao idadi yao inafikia 12000 wanaongea saana hasa kwenye mitandao ya kijamii na yeye hajari kwakuwa anafanya lazi aliyo pewa na watanzania
Tags
Kitaifa