TIMU YA BARCELONA KUHAMIA LIGI KUU UINGEREZA

Ingawa inaweza ikawa imekushangaza kusikia timu ya barcelona kuhamia ligi kuu ya uingereza

ni kwamba kwenye mji wa Catalonia mji huo umepiga kura ya kutaka kujieenga kutoka nchini hispania na kura imesha pigwa

endapo Catalonia itapa uhuru wake baada ya kura ya hivi.majuzi basi timu zote zinazo toka kwenye mji hule zita takiwa kuchagua ligi ya kucheza kama ni ligi ya uingereza,italia,ufaransa na hata ujerumani

kwa maana hiyo inamaana huenda timu ya barcelona ikaamua kucheza ligi kuu ya uingeleza EPL au wakacheza ligi ya nchi nyingine

na haita kuwa mala ya kwanza ya timu ya nchi nyingine kucheza ligi ya nchi nyingine kwa mfano baadhi ya timu za ligi kuu ya uingereza zinatoka nchi ya Wales

hivyo si ajabu kusikia barcelona inacheza EPL na baadhi ya makocha wameanza kuogopa ujio wa barcelona akiwemo kocha wa Arsenal Arsene wenger

Post a Comment

Previous Post Next Post