MBUNGE WA CHADEMA ATAKA VYAMA VINGI VIFUTWE

Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini kupitia chadema John heche asema bola vyama vya upinzani vifutwe

Heche akihojiwa na televisheni alisema kutokana na hali iliyopo ni bora kufuta vyama vya upinzani kwakuwa wapinzani wamekuwa kama wana fanya uhaini

alisema kazi ya upinzani ni kupinga lakini wanapo pinga huchukuliwa kama vile wanafanya uhaini kwenye nchi yao

alisema kupinga kwao kuna wapelekea kuonekana wao ni wapinzani wenye makosa hatua inayo fanya wanakosa amani wao na familia zao na usalama wao upo hatarini

kama wameona hawa wezi kukaa na upinzani wafute vyama vya upinzani kusudi ieleweke kuliko kuwanyima uhuru wapinzani

Post a Comment

Previous Post Next Post