KIJANA AHAIDI KUMMALIZIA TUNDU LISSU AKIRUDI TANZANIA

Mkurugenzi wa mafunzo na uratibu kanda wa chadema Benson kigaila alilalamikia jeshi la polisi kwa kuto mchukulia hatua kijana anae ongea maneno ya hovyo kwenye mitandao kuhusu Tundu lissu

benson amesema kijana huyo kupitia mitandao ya kijamii amekuwa akitoa lugha za vitisho juu ya uhai wa tundu lissu

amesema kijana huyo bado anasema kuwa walitenda kosa dodoma sahizi hawata tenda tena lazma wammalizie tundu lisu

Benson amesema mpaka sasa hawajui huyo kijana ni mwendawazimu au anajielewa ana fahamu kuhusu kushambuliwa Tundu lissu

chaajabu polisi hawaja mkamata na hatujui kwa nini hawaja mkamata wakati ana hatarisha uhai wa mtu hadharani

Post a Comment

Previous Post Next Post