Mbunge wa jimbo la hai na kiongozi wa kambi lasmi ya upinzani bungeni Freeman mbowe asema ameshangazwa saana na askofu pengo
mbowe alisema ameshangazwa na askofu wa jimbo kuu la dar es salaam kadinari Pengo kufuatia kauli yake kuhusu katiba mpya
mbowe amesema kiongozi huyo wadini anatakiwa kujitunzia heshima yake aliyo jijengea kwa muda mrefu
askofu pengo alisema haiwezekani kudai katiba mpya wakati watoto wetu wana kufa kwa kukosa dawa na hela nyingi ina tumika kuendesha mchakato wa katiba mpya
pengo alisema katiba mpya kwa sasa si kitu cha lazima na anafikilia katiba ishuhulikiwe siku zi jazo saizi tuangalie mambo mengine
pia kuhusu kauli ya askofu Severin niwemugizi pengo alisema kauli au tamko hilo siyo la kanisa ni lake binafsi
kufuatia kauli hii mbowe alionesha kushangazwa saana kwakuwa siku za nyuma kanisa lilikuwa mstari wa mbele kudai katiba mpya ana mshangaa askofu pengo
mbowe alisema Askofu huyo anatakiwa kuilinda heshima yake na yakanisa pia maana jamii ina muheshimu na haikutarajia kusikia maneno haya kwake.

Tags
Siasa