MWALIMU WA MADRASA JELA MIAKA 30 BAADA YA KULAWITI

Mwalimu wa madrasa aliye fahamika kwa jina la Abdalah Sharif amehukumiwa kwenda jela miaka.30.baada ya kukutikana na kesi ya kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 11

akisomewa mashitaka mtuhiwa ana tuhumiwa kufanya ukatili huo februali 25 mwaka huu maeneo ya gongo la mboto mjini dar es salaam

akitoa ushahidi mtoto ambae alifanyiwa kitendo hicho amesema amekuwa akimfanyia kitendo hicho mara kwa mara na alikuwa akimtishia kuwa ata mroga endapo atatoa taarifa

mtuhumiwa alijitetea kwa kusema kuwa yeye ana mke ingawa ni kipofu na huwa afanyi unyama huu

mtuhumiwa alisema yeye ana ugomvi na mama wa mtoto huyo ndiyo maana ana mzushia kosa hilo

kwa mujibu wa vipimo vya daktari mtoto huyo ajakutwa na michubuko ila anaonesha ameingiliwa

kwakuwa mtuhumiwa alishindwa kusibitisha utetezi wake mahakama ime muhukumu jela miaka 30

Post a Comment

Previous Post Next Post