AKAMATWA NA POLISI BAADA YA KUMSHIKA KIUNO MWANAMME MWENZAKE

Mwanaume pichani raia wa Scotland amefikishwa mahakamani dubai baada ya kumshika kiuno mwanamume mwenzake

mtalii huyo yupo nje kwa dhamana baada ya kukaa lumande kwa muda wa siku tano

mwanamume huyo ana tuhumiwa kumshika kiuno mwanamume mwenzakekwenye baa moja ya usiku huko dubai

katika utetezi wake amesema alikuwa ana jizuia asi mwage kinywaji chake kwenye baa hiyo ambayo ilijaa watu wengi na hakudhamiria kufanya hivyo

baada ya tukio hilo akakamatwa na kufunguliwa shitaka la kufanya kitendo kisichi faa mbele ya watu hasa kwenye jamii ambayo hairuhusu mambo hayo

ameachiwa kwa dhamana na pass yake ina shikiliwa na polisi na anatakiwa kuhuzuria mahakamani siku kadhaa zijazo

Post a Comment

Previous Post Next Post