MAGUFURI:MAKONDA NI MSOMI ACHENI UDAKU

Rais John pombe magufuri amesema yeye ni raisi na anajua siri nyingi kuhusu nchi na anajua kile anacho kifanya

baadhi ya watu wamekuwa wakimpinga hususani wale waliokuwa wapiga deal ndiyo wanaongoza kumchukia

raisi amesema akipendwa na mke wake inatosha hakuna haja ya kupendwa na mtu mwingine kwakuwa yeye amejipanga kuwa tumikia watanzania na siyo wapiga dili ambao wana.lalamika

amesema wakati anaingia amekuta nchi imeoza kila kona sasa yeye anapambana kuinyosha ili mambo yaende.sawa

pia raisi amemwagia sifa mkuu wa mkoa wa dar es salaam Paul maoonda ambapo alisema alipo anza vita yaadawa ya kulevya wakaanza kumwambia kuwa hana vyeti ili wampunguze nguvu

amesema kama makonda anakamata madawa ya kulevya kwake makonda ni msomi mkubwa kwake

amemtaka makonda afanye kazi na asisikilize maneno ya udaku kwakuwa yeye ni kiongozi mzuri

"na mwona jinsi anavyo angaika kuleta maendeleo huyu ni mfano wa kuigwa na wakuu wengine wa mikoa wamuige huyu kijana ambae amekusanya zaidi ya milion miamoja na themanini"

Post a Comment

Previous Post Next Post