Kichwa cha mwandishi wa habari aliye potea tangu agost 10 kimeokotwa baharini nchini sweden
mwandishi huyo wa habari Kim Wall alionekana mala ya mwisho mwezi ulio pita na hakuonekana tena hatua iliyo leta taharuki
waogeleaji waliokota mfuko ambao ndani ulikuwa na kichwa na viungo vingine vya mwana habari huyo mwenye miaka 30
mwanaume mmoja ambae alikuwa nae mala ya mwisho amekana kufanya mauaji ya mwandishi huyo ambae mpaka sasa haijulikani kwanini kauawa

Tags
Kimataifa