ACHINJA WATU WAWILI KISA WIVU WA MAPENZI

Polisi wilayani bunda yasibitisha kutokea vifo vya watu wawili baada ya kushambuliwa kwa visu

tukio hilo limetokea jana saa tano usiku maeneo ya stoo wilayani bunda mkoani mara

katika tukio hilo watu wawili wame poteza maisha ambao ni Daudi fares miaka 29 na Monica miaka 22

kwa mujibu wa taarifa kijana aitwae selemani jeremia alisafiri kutoka magu mwanza mpaka bunda

alifika moja kwa moja kwenye nyumba aliyo kuwa akishi Daud phares ambapo alimkuta ndani akiwa na bint monika ndipo akaanza kuwashambulia kwa kisu wote wawili

katika shambulio hilo aliwashambulia usoni na tumboni na kisha kumchinja mwanamke ambae ni MONICA

kwa mujibu wataarifa chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa mapenzi ambapo monika ina aminika alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na seleman ambae aliye sababisha mauaji lakini alimwacha kitendo ambacho hakikumfuraisha

baada ya kufanya tukio hilo alijaribu kujiuwa lakini polisi walimuwai na sasa yupo hospitali kwa matibabu

Post a Comment

Previous Post Next Post