TUNDU LISSU KUFANYIWA UPASUAJI WA 14

Kiongozi wa kambi lasmi ya upinzani ambae ni mwenyekiti wa chadema Freeman mbowe asema muda si mrefu lissu ata fanyiwa upasuaji mwingine

mbowe amesema siku chache zijazo Lissu atafanyiwa upasuaji ambao utakuwa ni wa 14 miongoni mwa upasuaji alio kwisha fanyiwa kabla

amesema alijeruhiwa saana na risasi alizo pigwa ila cha kushukuru mungu ana endelea vizuri kiafya

afya yake inazidi kuimarika kila siku ila wana washukuru madaktari kwa kazi nzuri na ya juhudi wanayo ifanya kumsaidia lissu apate kupona

Post a Comment

Previous Post Next Post