JINSI YA KUSOMA MESAGE ZA WHATSAP BILA YA ALIYE KUTUMIA KUJUA KAMA.UMEZISOMA

Leo nimeona nikusogezee ujanja huu mpya ambao pengine huku ujua kabla kipindi unatumia Whatsap

tumezoea kuwa mtu ukimtumia ujumbe kwenye whatsap na akisoma huwa unajua kuwa amesoma kwa kuona vitiki viwili vya blue na akiww haja soma huwa kitiki kimoja cheupe

sasa kama kuna mtu alikuwa anakutumia ujumbe na hauitaji kumjibu na hauitaji ajue kama umeusoma fanya hivi

utakapo ona ujumbe wa whatsap.umeingia wa yule ambae hautaji ajue kama umesoma jumbe zake fanya hivi

jumbe zake zikisha ingia wewe kabla ya kufungua nenda kwenye profile na ubadiri weka AIRPLANE MODE na ukisha weka wewe nenda kasome mesage na baadae weka kawaida yaani toa hiyo AIRPLANE MODE kwake itaonesha kuwa hujasoma jumbe zake na hazita onesha tiki za blue kamwe

hii ni njia nyepesi tuu ambayo hukuwai kuijua au pengine ulisha ijua kabla

Post a Comment

Previous Post Next Post