MZUNGU ATUMIA MILION 112 KUBADILI RANGI KUWA MWEUSI

Martina big raia wa ujerumani ametumia zaidi ya dola elfu hamsini kubadiri rangi kuwa mweusi

huku wanawake wakitamani kuwa weupe yeye alitamani saana kuwa kama wanavyo onekana wanawake wa kiafrika

picha hii juu ni kabla haja badiri rangi


anasema alikuwa akilala usingizi alikuwa akiota amekuwa mweusi ndiyo maana akaamua kutumia mamilioni ya pesa kubadiri rangi yake na kuwa mweusi amesema alikuwa akivutiwa na wasanii weusi kama Whitney huston ambao walikuwa wakionekana weusi

pia amefanya upasuaji kuongeza matiti yake ili avunje rekodi maana alisha vunja rekodi ya kuwa mwanamke mwenye matiti makubwa uraya sasa anataka kuvunja rekodi ya mwanamke mweusi mwenye matiti makubwa zaidi afrika

Post a Comment

Previous Post Next Post