AHUKUMIWA MWAKA MMOJA JELA BAADA YA KUMWITA RAISI MAGUFURI "KILAZA"

Mwasibu wa shele ya sekondari ya st joseph Elizabeth asenga apandishwa kizimbani baada ya kumwita raisi "kiliza"

mwasibu huyo alipandishwa katika mahakama ya kisutu mjini dar es salaam ambapo hakimu Haruna shaid alimsomea mashitaka yake

baada ya kujilizisha na ushahidi hakimu alimpa hukumu ya jela mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni tano ambapo mtuhumiwa alilipa na kuachiwa huru

mtuhumiwa huyo ana daiwa kusema maneno hayo kwenye group la whatsap ambapi alisema HAKUNA RAISI KILAZA DUNIANI KAMA HUYU

Post a Comment

Previous Post Next Post