MBUNGE WA CHADEMA ASEMA MAISHA YAKE YAPO HATARINI

Mbunge wa jimbo la Arumelu Joshua Nassari asema maisha yake yapo hatarini kuna watu wana mtafuta

kupitia ukurasa wake wa Facebook mbunge huyo amesema watu ambao aliwataja kwenye sakata la utoaji rushwa kwa madiwani chadema wanamtishia na wana mfanya kuwa katika hali ya hatari

mbunge huyo na mwenzake wa Arusga mjini Godbless lema wali wasilisha uchunguzi wao ambapo baadhi ya viongozi wa ccm walionekana wakipanga njama za ku nunua na kuwapa rushwa madiwani wa chadema mkoani arusha

wabunge hao wamesha washilisha ushahidi wao wa video kwa TAKUKURU na wanasubili TAKUKURU wafanye kazi yao

Post a Comment

Previous Post Next Post