NYUMBA ZA WABUNGE WA UPINZANI UGANDA ZA SHAMBULIWA KWA MABOMU

Nchini uganda kumelipotiwa kutokea kwa milipuko ya mabomu kwenye nyumba za wabunge wawili wa upinzani mapema jumanne

katika matukio hayo vitu vinavo aminika kuwa ni mabomu ya kutupa kwa mkono yamelipua nyumba za wabunge wawili wa upinzani akiwemo msanii Bob wine

pia mapema.wiki iliyopita mbunge mwingine wa upinzani aliye fahamika kwa jina la Moses kasibanda pia nyumba yake ili pigwa bomu

kupitia mahojiano na msanii huyo.bob wine amesema mlipuko umetokea nyumbani pake na kuharibu baadhi ya vitu lakini hakuna aliye fariki ama kujeruhiwa

pia ameenda mbali na kusema amekuw akipokea vitisho vya kuuawa karibu kila siku kutoka kwa watu wasio fahamika

nyumba zilizo chomwa kwa bomu ni nyumba za wabunge ambao miongoni mwao ni wale walio timuliwa bungeni

mapema majuzi serikali nchini uganda ipiga marufuku kufanya mahojiano ya kimuziki na msaniii bob wine wakimtuhumu kuwa ni kinara wa fujo na pia nyimbo zake ni marufuku kwenye radio na TV

Post a Comment

Previous Post Next Post