Maafisa wa polisi nchini Hispania wafanikiwa kukamata cocain zenye uzani wa kilo 4000 kwenye mashua
maafisa hao waliwakamata pia raia 14 wa uturuki ambao walikuwa wakifanya kazi kunako meri hiyo
haija julikana mashua hiyo ilikuwa inaenda wapi ila ina bendera ya comoro na wafanyakaz waturuki
madawa haya ni mengi kukamatwa kwenye historia ya madawa ya kulevya nchini huispania ndani ya miaka kumi

Tags
Kimataifa