WANANCHI WAWAFUKUZA TANESCO



Wananchi wa kimara stop over wawafukuza wafanyakazi wa TANESCO ambao walikuwa wakikata umeme kwenye nyumba zinazo bomolewa

hatua ya kuwafukuza imechukuliwa kama ni hasira baada ya wananchi hao kulazimishwa kubomoa nyumba zao kupisha upanuzi wa reli

nyumba nyingi maeneo ya kimara wametakiwa kubomoa nyumba zao wenyewe kabla ya serikali kuja kubomoa  na huenda watapoteza mari zao

hatua ya upanuzi wa reli umesababisha watu wengi kubaki bila makazi baada ya nyumba zao kubomolewa kupisha upanuzi wa reli huku sheria ikiwa inawaacha watu njia panda kuhusu mita za kukaa kutoka ilipo leli


Post a Comment

Previous Post Next Post