POLISI WA KITUO KIZIMA CHA POLISI WASHITAKIWA

Polisi wa kituo kimoja cha polisi nchini ureno wapandishwa mahakamani

polisi hao wanashitakiwa kwakosa la unyanyasaji na ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi walikuja hapo kituoni

kuna vijana wawili walikuja katika kituo cha polisi na walimuulizia mwenzao ambae alikuwa amekamatwa lakini polisi hao waliwakamata na wao pia na kuwatesa pasipo kuwa na kosa lolote

vijana hao waamiaji kutoka cape verde wanaishi lizbon walifanyiwa unyama huo ndani ya siku mbili mfululizo  na hatimae baadae kuachiwa lakini baadae ndiyo ikaja kugundulika kuwa walifanyia ukatili pamoja na ubaguzi wa rangi ambao umekithiri nchini ureno

Post a Comment

Previous Post Next Post