POLISI AMLIPIA MWIZI PESA NGUO ALIZO IBA DUKANI



Polisi mmoja nchini CANADA katika mji wa TORONTO amlipia pesa mwizi ambae alikuwa akijaribu kuiba dukani

kijana wa miaka.18 alikutwa amejaribu kuiba nguo suruali soksi na shati katika duka moja nchini canada

polisi aliye pigiwa simu kuja kumkamata akaamua kumuuliza kwanini anaiba akajibu anataka kwenda kwenye usahiri wa ajira

baada ya kujieleza hivyo polisi huyo akaamua kumlipia ili aende kwenye usahili wa ajira

kijana huyo alisema hakuwa mwizi aliiba kwakuwa hakuwa na pesa ya kununulia nguo ambazo angezivaa kwenye usahili


Post a Comment

Previous Post Next Post