SIKU MOJA KABLA YA UCHAGUZI MLIPUKO WATOKEA KENYA



Ikiwa imebakia siku moja kupigwa kura nchini kenya hapo jana mlipuko mkubwa ulitokea

mlipuko huo mkubwa ulitokea kwenye kisiwa cha Lamu nchini kenya ambapo ulilipua mtambo mkubwa wa umeme hatua iliyo pelekea kukosekana kwa umeme

mpaka sasa hakuna kikundi kilicho kili kuhusika na shambulio hilo ambalo linaaminika ni la kifagaidi

raia wakenya wanatarajiwa kupiga kura kumchagua raisi na wabunge nchini humo huku mchuano mkari ukiwa ni kati ya Raila odinga na.Uhuru ksnyata


Post a Comment

Previous Post Next Post