AFARIKI BAADA YA KUPIGA KURA NCHINI KENYA



Mwanamume mmoja nchini kenya afariki baada ya kupiga kura

mwanaume huyo aliye fahamika kwa jina la Patrick Odoyo alipiga kura katika kituo cha kata ya kobura katika mji wa kisumu na baada ya mda mfupi akazirai na hatimae kufariki

mwanaume huyo alikuwa mpiga kura watano katika kituo hicho ambapo alikuja kituoni hapo mapema sana

mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakija julikana huku ikiaminika ni kwakuwa alikaa muda mrefu kituoni hapo huenda hari mbaya ya hewa imechangia


Post a Comment

Previous Post Next Post