
Kufuatia uchaguzi nchini kenya kufanyika baadhi ya raia waanza kukimbilia Tanzania wakihofia vurugu zinazoweza kujitokeza baada ya uchaguzi
baadhi ya wananchi wanakimbilia nchini tanzania wakihofia usalama wao baada ya uchaguzi kwakuwa kumekuwa na joto kubwa la kisiasa
mama mmoja ambae amevuka mpaka kuja tanzania alipo ulizwa ni kwanini ana kuja Tanzania alisema ameamua kuja huku kwa baba yake akihofia vurugu nchini kenya
pia katika mpaka wa Tanzania na Kenya idadi ya wanao vuka kuja tanzania ni wengi kuliko wanao kwenda nchini kenya huku wengi wao wakiwa raia wa Asia na Ulaya ambao wanavuka kuja Tanzania
joto la uchaguzi nchini kenya ni kubwa ambapo kuna mchuano mkari kati ya mgombea wa upinzani Raila Idinga dhidi ya Uhuru kenyata
Tags
Siasa