
Mamlaka ya anga nchini Tanzania TCAA imesema haitambui ujio wa ndege ya gwajima ambayo amesema amenunua
mchungaji Gwajima ametangaza kununua ndege aina ya Gulfstream N60983 ambayo ameinunua kwa shilingi bilioni 2.64
amesema ameijaribu hiyo ndege na kujirizisha kuwa inafaa kwa matumizi ya kueneza neno la mungu
mamlaka ya anga imesema kwa kawaida lazima mamlaka itambue kuusu ndege zote zinazokuja nchini na lazima wazikague na wajilizishe lakini mamlaka ya anga nchini haina taarifa
mamlaka hiyo imesema kama amenunua itabidi wailete waikague wakijilizisha watairuhusu itumike
Tags
Kitaifa