
Polisi kwenye uwanja wa ndege wa Bangladeshi imemkamata mwanamume mmoja akiwa ameficha dhahabu kilo 25 kwenye mapaja yake
mwanaume huyo alijifanya ni kilema akiwa kwenye kiti cha wagonjwa kumbe alikuwa anasafilisha dhahabu hiyo
dhahabu hiyo ina samani ya dola milion mbili alikuwa akiisafirisha kwenda nchini india kuiuza
maafisa polisi walimshitukia baada ya kukutwa amesafiri mara 13 ndani ya mwaka huu ndipo wakaamua kumpekua na kumkuta si kirema bali ameficha zahabu
watu wengi hujaribu kuingiza dhahabu nchini india kutokana na dhahabu kuwa na bei nchini india lakini hujaribu kukimbia kuripa kodi
Tags
Kimataifa