
Moto umezuka mapema leo kwenye kiwanda cha kutengeneza sofa mkoani morogoro
kiwanda hicho kinatengeneza sofa mkoani morogoro ambapo moto huu pia uliunguza pia baadhi ya magari
mpaka sasa chanzo cha moto huo haujajulikana chanzo chake na polisi unaendelea na uchunguzi
Tags
Swahiba Tv