MGANGA AMKATA KICHWA BINTI KISHA KUKICHOMA MOTO



Polisi mkoani Dodoma inawashikilia watu 11 kwa kuusika na mauaji ya binti wa miaka kumi na misaba katika maeneo ya chamwino mkoani dodoma

pia polisi inamshikilia mganga wa kienyeji aliye fahamika kwa jina la Ashura ambae amekutwa na maiti ya binti huyo

binti huyo amekutwa amekatwa kichwa huku kichwa chake kikiwa kimechomwa ikiaminika shughuli hiyo imefanywa na mganga huyo wa kienyeji

pia mganga huyo anatuhumiwa kwa kutibu watu bila ya kibari pia huwa anapiga ramli chonganishi kwa watu wanao kuja kwake


Post a Comment

Previous Post Next Post