MGANGA AMBAKA MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA BAGAMOYO



Katika hekaheka ya Clouds FM leo ilikuwa bagamoyo ambapo mganga wa kienyeji atuhumiwa kumbaka mtoto

mtoto mmoja wa darasa la sita aliwaambia walimu wake kuwa kuna mganga huwa anacheza nae kamchezo lakini umuumiza sana

baada ya kusikia ivyo walimu wamtaarifu mama wa mtoto huyo na walipo mpima hospitali wakabaini kuwa amebakwa

inasadikika kuwa ni mchezo wa muda mlefu wa mganga huyo kumfanyia mchezo mbaya mtoto huyo wa dalasa la sita


Post a Comment

Previous Post Next Post