i
Jeshi la polisi limetoa taarifa ya kufanikiwa kuwaua majambazi kumi na moja mkoani pwani
jana tarehe.9.8.2017 wakiwa na mtuhumiwa wa ujambazi ambae alikubali kwenda kuonesha walipo wenzake majira ya saa 3 usiku walipo kalibia eneo la tukio wakakabiliwa na majibizano makali ya risasi kutoka kwa majambazi hao ambapo polisi walifanikiwa kuwaua kumi na moja
katika hao kumi na moja walio uawa saba wametambulika ambao ni hawa wafuatao
-Hasaani Ally njame
-Abdala abdala mbindambi
-Said abdala kilinde
-Abdurshakur mohamed ubuguyu
-Issa mohamed mseketu
-Rajabu thomas
-Mohamed ally
wengine bado hawaja tambulika hivyo utambuzi unaendelea ili kuwatambua
Tags
Kitaifa