
Mwanaume mmoja nchini china akamatwa na polisi baada ya kubainika kubeba mikono miwili ya binadamu kwenye begi lake
mwanaume huyo alikamatwa kwenye mji wa Gwanzoh nchini china akiwa katika kituo cha basi
baada ya polisi kumtilia shaka wakamuuliza kuwa kabeba nini kwenye mkoba ndipo akajibu kuwa amebeba mikono
alipoulizwa anaipeleka wapi akajibu kuwa mikono hiyo ni kaka yake ambae alikatwa baada ya kupata ajari ya umeme na sasa mgonjwa anakaribia kufariki sasa aliitaji akifa afe na mikono yake ndyo maana kaamua kumpelekea kama alivyo hitaji
Tags
Kimataifa