
Huku matokeo ya uraisi yakizidi kutangazwa mgombea wa upinzani Raila.Odinga apinga matokeo
odinga amesema hayatambui matokeo yanayo tangazwa kwenye tivuti ya tume ya uchaguzi kuwa hayajafuata taratibu
amesema ilitakiwa maajenti wao wapewe fomy kabla ta kutangaza matokeo ili kujilizisha na yanayo tangazwa
mpaka sasa Uhuru kenyata anaongoza dhidi ya mpinzani wake wa kalibu Odinga
Tags
Siasa