Header Ads Widget

MAMA AUAWA AKITUHUMIWA KUIBA MAHINDI



Mkoani sumbawanga mama mmoja aliye fahamika kwa jina la victoria kalungumizi miaka 67 auawa kwa kupigwa marungu akituhumiwa kuwa ni mwizi wa mahindi

tukio hilo limetokea katika kijiji cha lyapona mkoani hapa ambapi mama huyo alidaiwa kuiba mahindi kwenye shamba la Michael mkombizi

siku ya tukio inasemekana kuwa watu hao walimkuta mama huyo akiiba mahindi katika shamba la michaeli ndipo wakamvamia na kuanza kumpiga kwa marungu mpaka alipo poteza maisha.

baada ya kufanya tukio hilo wananchi hao walitawanyika na walio anzisha kumpiga mama huyo wakiwa wametokomea kusiko julikana

polisi inaendelea kuwatafuta walimpiga mama huyo huku wakitoa angarizo wasipende kujichukulia sheria mkononi


Post a Comment

0 Comments