
Mzee mmoja nchini Ghana ana watoto miamoja lakini bado anatamani kuzaa tena watoto zaidi
mzee huyo mwenye miaka 80 ana watoto miamoja na wanawake 12 ambao amezaa nao hao watoto
mzee huyo anasema aliamua kuzaa watoto wengi kwakuwa hakuwa na ndugu hivyo hakutaka ukoo wao upotee ndiyo maana akazaa watoto wengi
lakini bado anatamani kuwa na watoto zaidi angalau wafike mia na hamsini ili uwe ukumbusho na hata akifa azikwe na watu wengi
anasema zamani alikuwa tajili ndiyo maana aliweza kuwahudumia watoto woote alio wazaa na hakuna ata mmoja aliye pata tabu .Pia watoto wake ni thelusi ya wanakijiji anacho ishi yeye kwasasa
Tags
Entertaiment