Header Ads Widget

MKE AMUUA MUME WAKE KWA KUMCHOMA NA KISU MKOANI MWANZA

Mwanamke mmoja mkoani mwanza amuua mume wake baada ya kumchoma kitu chenye ncha kari

kwa mijibu wa maelezo tukio jilo limetokea usiku wa tare 10 ambapo mwanamke huyo alimchoma mumewake na kitu chenye ncha kali hatua iliyipelekea umauti wake

baadhi ya watu walisema mwanamke huyo alimuua mume wake kwatamaa ya mari ambapo mwanamke huyo alimvizia mumewake akiwa amelala

polisi mkoani mwanza wamesibitisha kutokea kwa tukio hilo na wansuifadhi mwili wa marehemu kwa uchunguzi

Post a Comment

0 Comments