EVERTON WATUA DAR ES SALAAM WAKIWA NA ROONEY

Baada ya timu ya Everton kumsajili wayne rooney kutoka man united hatimae timu hiyo iimewasili dar

wamewasili leo wakiwa na wachezaji wake woote akiwemo mshambuliaji wayne rooney
everton imekuja kucheza na timu ya gormahia ya nchini kenya baada ya kuwa mshindi wa sportpesa super cup iliyofanyika mjini dar es salaam 

Post a Comment

Previous Post Next Post